Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wakati Mayele akiongoza kwenye chati ya wafumania nyavu Ligi Kuu ya NBC akipachika mabao 16 mpaka sasa.
Kiungo wa Simba, Mzambia Clatous Chama anaongoza orodha ya watoa pasi za mwisho Ligi Kuu ya NBC akiwa na Assist zake 14.
Licha ya takwimu zao wachezaji wote hao wanasubiri kwa Kiungo wa Simba, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ndio mchezaji aliehusika katika magoli mengi Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa.
Saido amefunga mabao 10 na kutoa pasi 10 za mabao na kumfanya kuwa mchezaji aliehusika katika mabao mengi kuliko yoyote mpaka sasa, akiwa amehusika katika mabao 20, Fiston Mayele wa Yanga amehusika katika mabao 18 (magoli 16 Asisti 2) wakati Chama amehusika katika mabao 18 (magoli 3 Assist 14)
Post a Comment