Saido atemwa Timu ya Taifa ya Burundi - EDUSPORTSTZ

Latest

Saido atemwa Timu ya Taifa ya Burundi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kocha Mkuu wa Intamba Mu Rugamba, Etienne Ndayiragije amemwaacha nje ya kikosi kiungo wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza wakati Burundi ikijiandaa kukabiliana na Namibia kwenye michezo ya kufuzu Afcon 2023 nchini Ivory Coast mwezi ujao.


Saido anatuhumiwa kwa utovu wa nidhamu baada ya kukataa kushiriki mchezo wa kirafiki dhidi ya Indonesia mapema mwezi Machi mwaka huu.


Mlinda mlango wa Coastal Union Justin Ndikumana ameitwa.


Kikosi kamili (Vilabu vyao kwenye mabano)


MAGOLIKIPA


R.Onesime (MESSAGER N.) N.Justin (COASTAL UNION) M.Fabien (VIPERS SC.) B.Aladin (R FC WARNANT)


MABEKI


N.DAVID (SOFAPAKA FC) N.Youssuf (OGC NICE) H.Rashid Léon (BUMAMURU FC) M.Weymans (K.BEERSCHOT) M.Collin (AIGLE NOIR) N.ISMAEL (KIYOVU SC) N.Christophe (ACADEMICO DE VISEU) M.Derrick (NKANA FC)


VIUNGO


N.Jospin (YENI MALATYASPOR) J.Liongola (LIERSE SK) I.Donasiyano (Oakland Roots S.C.) M.Emmanuel (KMS Fc) T.Ngabo (UN. KAERJENG 97) B.Abedi (KIYOVU SC) N.Shassir (BANDARI FC) G.Jean Claude (MAGARA Y.B) M.Aaron (GREEN EAGLES)


WASHAMBULIAJI


B.Saido (AEL LIMASSOL) B.Caleb (KAIZER CHIEFS) S.Hussein (AS KIGALI) N.Pacifique (VALOUR FC) M.Aaron (GREEN EAGLES) B.Richard (BUMAMURU) K.Bienvenue (MFK VYOKOV) C.Crispaldinho (RCS Verlaine)



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz