Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Staa wa Manchester United, Marcus Rashford ameripotiwa kumpangisha kwa gharama za chini beki Wes Brown baada ya kuripotiwa kufirisika. Brown, 43, aliyewahi kuichezea Man United ametangazwa mufilisi baada ya kuwa na deni kubwa la kodi na kampuni za magari.
Staa wa Manchester United, Marcus Rashford ameripotiwa kumpangisha kwa gharama za chini beki Wes Brown baada ya kuripotiwa kufirisika. Brown, 43, aliyewahi kuichezea Man United ametangazwa mufilisi baada ya kuwa na deni kubwa la kodi na kampuni za magari. Ukiweka kando msaada wa makazi ambao Rashford ameutoa, wachezaji wengine wa zamani wa Man United, ambao wamekuwa wakimpa sapoti Brown ni Wayne Rooney na Michael Carrick.
Post a Comment