Pochettino asaini Chelsea

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Rasmi Mauricio Pochettino amesaini mkataba wa kuifundisha Chelsea, makubaliano baina ya pande hizo mbili yalifanyika wiki mbili zilizopita. Mwandishi wa habari za michezo Fabrizio Romano amethibitisha.


Taarifa ya Romano imeeleza kuwa Chelsea watamtangaza Pochettino muda wowote kuanzia sasa kuwa kocha mpya kwa mkataba wa mikaa mitatu.


Kocha huyo wa zamani wa Spurs ataanza kazi wiki ijayo baada ya leo kuhitikishwa msimu wa Ligi Kuu England. Lampard ataondoka rasmi baada ya mchezo wa leo dhidi ya Newcastle United

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post