Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Msemaji wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally aunga mkono kampeni ya kumchangia mchezaji Feisal Salum ili aweze kulipia gharama za Jalada la kesi yake kwenye mahakama ya michezo "CAS" ya kuondoka Yanga kwa kuvunja mkataba.
Msemaji wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally aunga mkono kampeni ya kumchangia mchezaji Feisal Salum ili aweze kulipia gharama za Jalada la kesi yake kwenye mahakama ya michezo "CAS" ya kuondoka Yanga kwa kuvunja mkataba. Feisal ana kesi na Yanga baada ya kutaka kuvunja Mkataba kinyume na taratibu tangu mwishoni mwa mwaka jana.
Post a Comment