Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mwekezaji kutoka katika Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji ameipongeza Klabu ya Yanga baada ya kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Yanga wameingia hatua ya Fainali baada ya kufanikiwa kuiondoa Timu ya Marumo Gallants kwa jumla ya mabao 4-1.
Kupitia Ukurasa wake wa Twitter, Mo Dewji ameandika;
"Hongera sana mtani, you have made Tanzania proud!"
Post a Comment