Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata yuko mbioni kusaini mkataba kuendelea kuitumikia Yanga
Metacha alijiunga na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili kwa mkopo akitokea klabu ya SIngida Big Stars
Mkataba wake na Singida BS unamalizika mwishoni mwa mwezi huu na Yanga tayari imemuandalia mkataba wa muda mrefu
Baada ya kuonyesha kiwango bora tangu ajiunge na Yanga Metacha amewashawishi mabosi wa Yanga huku pia akirejesha imani ya Wananchi aliyokuwa ameipoteza
Ni wazi Yanga haitamuongezea mkataba mlinda lango namba tatu Erick Johora na nafasi nyake itachukuliwa na Metacha
Post a Comment