Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mbeya City imeondoka kwenye eneo la play-off baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold
Bao la George Sangija liliihakikishia Mbeya City kupata ushindi muhimu uwanja wa Nyankumbu huko Geita na kufikisha alama 30
Mbeya City wamepanda mpaka nafasi ya 12 wakiishusha KMC yenye alama 29 katika eneo la play-off
Ruvu Shooting imekuwa timu ya kwanza kushuka daraja huku Polisi Tanzania ikiwa katika hatari, alama 22 kwenye nafasi ya 15
Polisi Tanzania wanahitaji kushinda mechi zote tatu zilizobaki huku ikiomba wapinzani wake wasipate matokeo mazuri katika mechi zao
Post a Comment