Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Washambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele na Kennedy Musonda wameitwa kwenye timu zao za Taifa kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa Afrika.
Mayele ameitwa kwenye kikosi cha Demokrasia ya Congo (DRC), chini ya mwalimu Sébastien Desabre kuelekea mchezo wa kutafuta tiketi ya kushiriki michuano hiyo mikubwa ya Afrika dhidi ya Gabon.
Nae Avram Grant amemjumuisha Kennedy Musonda kwenye kikosi cha Chipolopolo wakiwa wanaelekea kucheza dhidi ya Ivory Coast.
Post a Comment