Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Azam Complex
Mabao ya Simba yalifungwa na Clatous Chama na Pape Ousmane Sakho aliyepachika mabao mawili
Chama amefikisha mabao manne msimu huu wakati Sakho amefikisha mabao tisa
Ni matokeo ambao yameifanya Simba ifikishe alama 67, ikiwa bado iko nyuma kwa alama nne dhidi ya Yanga
Simba imeishusha rasmi daraja Ruvu Shooting baada ya kipigo hicho
Post a Comment