Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ni wenyeji, Real Madrid waliotangulia kwa bao la nyota wake Mbrazil, VinÃcius Júnior dakika ya 36 akimalizia pasi ya Mfaransa mzaliwa wa Angola, Eduardo Camavinga, kabla ya Mbelgiji Kevin De Bruyne kuisawazishia Man City dakika ya 67 akimalizia pasi ya Mjerumani Ä°lkay GündoÄŸan.
Timu hizo zitarudiana Mei 17 Uwanja wa Etihad Jijini Manchester, England na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla katà ya AC Milan na Inter Milan za Italia.
Post a Comment