Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, kupitia Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji kupitia kikao chake cha Mei 4 imetupilia mbali maombi ya mchezaji Feisal Salum aliyowasilisha katika Kamati hiyo akiomba kuvunja Mkataba na Klabu ya Yanga.
Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, na TFF kama inavyosomeka hapa chini;
Post a Comment