Mane kupishana na Alvarez Bayern Munich


 Straika wa Manchester City na Argentina Julian Alvarez, 23, ameingia kwenye rada za Bayern Munich inayomuangalia kama sehemu ya mbadala wa Sadio Mane ambaye huenda akaondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.


Straika wa Manchester City na Argentina Julian Alvarez, 23, ameingia kwenye rada za Bayern Munich inayomuangalia kama sehemu ya mbadala wa Sadio Mane ambaye huenda akaondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi. Alvarez mwenye umri wa miaka 23, ni miongoni mwa mastaa walioonyesha kiwango bora akiwa na Man City kwa msimu huu lakini amekuwa hapati nafasi ya kutosha kwenye kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa EPL.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post