Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mabingwa mara 17 wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, La Lakers wameshinda mchezo wa 3 wa nusu fainali ya ukanda wa Magharibi dhidi ya Golden State Warriors kwa jumla ya alama 127 kwa 97 na kuwa na matokeo ya 2-1 kati ya 7.
Mabingwa mara 17 wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, La Lakers wameshinda mchezo wa 3 wa nusu fainali ya ukanda wa Magharibi dhidi ya Golden State Warriors kwa jumla ya alama 127 kwa 97 na kuwa na matokeo ya 2-1 kati ya 7. Nyota mwenye kiwango bora kabisa kwa sasa Anthony Davis ameendelea kuwanyanyasa Warriors bila huruma kwa kufunga alama 25, rebounds 13, blocks 4 na pasi za usaidizi wa kufunga 3. Mchezo wa 4 utapigwa mei 9, 2023 katika uwanja wa Lakers Crypto.com Arena Los Angeles, California.
Post a Comment