KIKOSI Cha Yanga vs USM Alger |
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
KIKOSI Cha Yanga vs USM Alger Leo tarehe 28 May 2023
Huu ni utabiri wetu kikosi kitakapo toka tutakiweka
Klabu ya Yanga SC itacheza mchezo unaofuata wa CAF Confederation Cup tarehe 28 May 2023 dhidi ya USM Alger FC ya Algeria.
Mchezo huo wa Fainali mkondo wa Kwanza wa CAF Confederation Cup utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam Kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Post a Comment