Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Tuzo hizo zimegawanyika katika Makundi matano ambayo ni;
1.Tuzo za Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC)
2.Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL)
3.Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
4.Tuzo za Utawala, na;
5.Tuzo za Ligi nyingine.
Orodha kamili ya tuzo hizo na wateule wake ni kama ifuatavyo:
ZAWADI wanazopata Washindi Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)
1.TUZO ZA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS (ASFC)
A.Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora
Bennedict Haule – Singida Big Stars
Djigui Diarra – Young Africans
Abdulai Iddrisu – Azam FC
B.Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora
(Wateule watatangazwa Jumapili May 21, 2023 baada ya mechi ya Nusu Fainali ya pili).
C.Wanaowania Tuzo Mfungaji Bora
(Mshindi ni yule atakayeongoza kwa kufunga mabao mengi, wapo wachezaji wenye mabao manne wameondolewa katika orodha hii kwa sababu timu zao zimeshatolewa na idadi ya mabao waliyofunga tayari imepitwa.
Hadi sasa Wachezaji ambao wana nafasi katika tuzo hizo ni;
Andrew Simchimba – 7 (Ihefu SC, timu yake imeshatoka, lakini mabao yake hayajafikiwa)
Clement Mzize – 6 (Yanga,
Timu yake inaendelea)
Abdul Suleiman – 3 (Azam, Timu yake inaendelea).
2. TUZO ZA LIGI YA WANAWAKE (SWPL)
A.Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora
Najiath Abbas – JKT Queens
Winfrida Jedah – Fountain Gate Princess
Gelwa Yona – Simba Queens
B.wanaowania Tuzo ya Chipukizi Bora
Winfrida Charles – Alliance Girls
Winfrida Gerald – Fountain Gate
Jackline Shija JKT Queens
C.Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora
Donisya Minja – JKT Queens
Jentrix Shikangwa – Simba Queens
Amina Bilali – Yanga Princess
D.Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora
Ally Ally JKT Queens
Juma Hussein Fountain Gate
Charles Lukula – Simba Queens
E. Kikosi Bora cha Msimu wa 2022/2023
(Kitatangazwa siku ya sherehe za Tuzo).
F.Wanaowania Tuzo ya Mfungaji Bora
Jentrix Shikangwa – 17 (Simba Queens)
G. Timu zinazowania Tuzo ya Timu yenye Nidhamu Msimu wa 2022/2023
Amani Queens
JKT Queens
Alliance Girls
H. Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Bora
Jonesia Rukyaa – Kagera
Tatu Malogo – Tanga
Ester Adalbert – Singida
I. Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora
Janeth Balama – Iringa
Glory Tesha – Dar
Zawadi Yusuph – Dar
3:TUZO ZA LIGI KUU YA NBC (NBCPL)
A: Wachezaji waoawania Tuzo ya Mchezaji Bora
Mzamiru Yassin – Simba
Fiston Mayele – Yanga
Bruno Gomes Singida BS
Djigui Diarra Yanga
Saido Ntibazonkiza – Geita Gold/Simba
B:Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora
Aishi Manula – Simba
Djigui Diarra – Yanga
Benedict Haule – Singida
C. Wanaowania Tuzo ya Beki Bora
Dickson Job – Yanga
Henock Inonga – Simba
Bakari Mwamnyeto – Yanga
Shomari Kapombe – Simba
Mohammed Hussein – Simba
D. Wanaowania Tuzo ya Kiungo Bora
Bruno Gomes Singida BS
Mzamiru Yassin – Simba
Stephane Aziz Ki – Yanga
Clatous Chama – Simba
Saido Ntibazonkiza – Geita Gold/Simba
E.Makocha Wanaowania Kocha Bora
Nasreddine Nabi – Yanga
Hans Pluijm Singida
Roberto Oliveira – Simba
F. Wanaowania Tuzo Meneja Bora wa Uwanja
Omari Malule Highland Estates (Mbeya)
Hassan Simba – Liti (Singida)
Amir Juma Azam Complex (Dar)
G. Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Chipukizi Bora
Clement Mzize – Yanga
Edmund John – Geita Gold
Lameck Lawi – Coastal Union
H. Wachezaji waoawania kuunda Kikosi Bora Cha Msimu 2022/2023
(Kikosi Bora kitatangazwa siku ya sherehe za Tuzo)
I.Timu inayowania Tuzo ya Timu yenye Nidhamu
KMC
Ruvu Shooting
Tanzania Prisons
J. Waamuzi Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Bora
Jonesia Rukyaa – Kagera
Tatu Malogo – Tanga
Ramadhan Kayoko – Dar
K. Waamuzi Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora
Mohamed Mkono – Tanga
Frank Komba – Dar
Janeth Balama – Iringa
L. Waamuzi Wanaowania kuunda Seti Bora ya Waamuzi
SIMBA VS YANGA
Jonesia Rukyaa
Mohamed Mkono
Janeth Balama
Tatu Malogo
SIMBA VS AZAM
Abdi Wajihi
Alnord Bugado
Martin Mwalyaje
Isihaka Mwalile
GEITA GOLD VS DODOMA JIJI
Jonesia Rukyaa
Zawadi Yusuph
Athuman Rajabu
Ally Simba
M. Makamishina Wanaowania Tuzo ya Kamishina Bora.
Isaack Munisi
Hosea Lugano
Said Mankilingo
N. Tuzo ya Mchezo wa Kiungwana (Fair Play)
(Itatangazwa siku ya sherehe)
O. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Bao Bora
(Tayari mabao teule yamepatikana lakini kwa sababu Ligi bado inaendelea, pengine yanaweza kufungwa mabao mazuri zaidi nayo yakaingia katika kinyang’anyiro.)
P. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mfungaji Bora
(Ni yule atakayeongoza kwa kufunga mabao mengi, hadi sasa msimamo wa juu ufungaji ni kama ifuatavyo;
Fiston Mayele Yanga (16)
Moses Phiri – Simba (10)
Saido Ntibazonkiza – Simba (10)
4:TUZO ZA UTAWALA
Tuzo ya Heshima Soka la Wanawake
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo)
Tuzo ya Mchezaji Gwiji
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo)
Tuzo ya Heshima
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo)
Tuzo ya Rais
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo)
5:TUZO ZA LIGI NYINGINE
A. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Championship 2022/2023
Edward Songo – JKT Tanzania
John Elias Budeba – Mashujaa
Fabrice Ngoy wa Ngoy – Kitayosce
B. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora First League
Ramadhani Athumani – Rhino Rangers
Abdulrahman Mapande – Cosmopolitan
Tungu Kashinje – Stand United
C. Wachezaji Waoawania Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi ya U20 – 2022 (Tuzo ya Ismail Khalifan)
Ladaki Chasambi – Mtibwa Sugar
William Mwani Mbeya Kwanza
Clement Mzize – Yanga
Post a Comment