Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Timu ya AS Roma imefanikiwa kutinga Fainali ya Europa League baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu leo usiku wa Alhamisi Uwanja wa BayArena Jijini Leverkusen.
Timu hiyo ya kocha Mreno, José Mourinho inanufaika na ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza Italia na sasa itakutana na Sevilla iliyoitoa Juventus.
Sevilla imeitoa Juventus kwa jumla ya mabao 3-2 kufuatia ushindi wa 2-1 jana Hispania ikitoka kutoa droo ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Italia.
Post a Comment