Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amebeba tuzo ya mlinda lango bora ligi kuu ya NBC kwa msimu wa pili mfululizo baada ya kuondoka na cleansheet katika ushindi wa mabao 2-0 ambao Yanga wameupata dhidi ya Singida BS
Diarra amefikisha cleansheet 16 ambazo hakuna mlinda lango mwingine anaweza kuzifikia zikiwa zimesalia mechi tatu tu msimu kumalizika
Diarra amejihakikishia tuzo hiyo kwa msimu wa pili mfululizo, msimu uliopita aliondoka nayo pia
Post a Comment