Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Bodi ya Ligi Kuu imefanya mabadiliko ya Ratiba kwa mechi mbili zinazoihusu klabu ya Yanga
Mchezo dhidi ya Mbeya City uliokuwa upigwe May 24 sasa utapigwa Juni 06 na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliokuwa upigwe May 28 sasa utapigwa Juni 09
Mabadiliko hayo ni kuipa nafasi Yanga kujiandaa na mchezo wa fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger ambao mkondo wa kwanza utapigwa May 28 uwanja wa Benjamin Mkapa na marudiano kupigwa Juni 03 huko Algeria
Post a Comment