Arsenal yaichapa newcastle ugenini

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili Uwanja wa St. James' Park, Newcastle upon Tyne.


Mabao ya Arsenal yamefungwa na Martin Odegaard dakika ya 14 na Fabian Schar aliyejifunga dakika ya 71. Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 81 katika mchezo wa 34 ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na mabingwa watetezi, Manchester City, ambao pia wana mechi moja mkononi.


Kwa upande wao, Newcastle United inabaki pointi zake 65 za mechi 34 nafasi ya tatu.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post