Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Al Ahly ya Misri imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Esperance katika mchezo wa mkondo wa nusu fainali mkondo wa pili uliopigwa Misri
Al Ahly imetinga fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-0, wakishinda mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa Tunisia
Mabingwa hao wa kihistoria michuano ya Ligi ya Mabingwa wanamsubiri mshindi wa mchezo kati ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco
Baada ya kulazimisha suluhu ya bila kufungana nchini Morocco Sundowns wanahitaji ushindi leo ili kutinga fainali
Post a Comment