Abood amwaga tiketi 1,000 za fainali ya CAF Yanga

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Baada ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kutoa tiketi 5000 kwa ajili ya kuiona Yanga dhidi ya USM Alger mchezo wa fainali Kombe la Shirikisho, viongozi wengine wamehamasika na wameendelea kufuata nyao hizo.


Mbunge wa Morogoro Mjini (CCM) Abdulaziz Abood amenunua tiketi 1,000 kwa ajili ya mchezo huo utakaochezwa Mei 28, 2023, Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.


Mashabiki wa Yanga kutoka Morogoro wamempongeza mbunge huyo kwa uzalendo aliouonesha mbunge huyo.


Mchezo huo utakuwa wa mkondo wa kwanza na baada ya hapo Yanga wataenda Algeria kwa ajili ya fainali ya mzunguko wa pili.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post