Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wananchi watalazimika kuweka kambi huko Singida kwani baada ya mchezo huo, siku tatu baadae watarudi tena uwanja wa LITI kuumana na Singida BS katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambao utapigwa May 07
Zitakuwa dakika 180 za mapambano kwa Yanga ikihitaji kushinda mechi zote mbili
Yanga inahitaji kutetea ubingwa wa ligi kuu, ushindi dhidi ya Singida BS utawasogeza karibu zaidi kufikia malengo kwani wanahitaji alama nane kutoka mechi nne zilizobaki
Ili kutetea kombe la FA Yanga lazima ishinde dhidi ya Singida BS kutinga fainali zaidi Wananchi wanaomba watani zao Simba washinde dhidi ya Azam Fc ili 'kipigwe' tena derby katika FA
Post a Comment