Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Timu ya Wydad Athletic club itakayomenyana na Simba SC siku ya jumamosi imelalamika kupewa Uwanja Mbovu na Wenyeji wao Simba Kwa ajili ya Kufanya mazoezi
Wydad Wamesema Uwanja wa Gymkhana Waliopewa ni mbovu hauna hadhi na utasababisha wachezaji wao Kupata majeraha.
Wydad wanajiandaa kwa mchezo wa hatua ya kwanza ya mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika April 22.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>
Join Our Telegram Channel for Daily Updates
CLICK HERE
No comments:
Post a Comment