Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wakati Juzi Real Madrid wakipokea Kichapo cha magoli 4-2 kutoka kwa Girona mchezo wa Ligi Kuu Hispania Laliga.
Taty Castellanos alitupia magoli yote manne ya Girona katika ushindi huo mbele ya Mabingwa watetezi wa Laliga.
Mabao hayo ya Castellanos yanamuingiza katika Orodha ya wachezaji Sita waliowahi kufunga Hat Trick dhidi ya Real Madrid.
Wachezaji wa mwisho waliofunga hat-trick dhidi ya Real Madrid kwenye La Liga:
Lionel Messi (Barcalona) mwaka 2007
Pandiani (Espanyol) mwaka wa 2007
Xabi Prieto (Real Sociedad) mwaka wa 2013
Lionel Messi (Barcalona) mwaka wa 2014
Luis Suárez (Barcalona) mwaka wa 2018
Carlos Soler (Valencia) mnamo 2020
Taty Castellanos (Girona) mnamo 2023
Post a Comment