Waamuzi mechi ya Simba vs Yanga watangazwa

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Bodi ya Ligi Kuu imetangaza waamuzi watakaochezesha mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili, April 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa


Mwanamama Jonesia Rukya amepewa jukumu la kusimamia mchezo huo akisaidiwa na Mohammed Mkono na Janeth Balama. Mwamuzi wa akiba ni Tatu Malogo



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post