Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Usiku wa kuamkia jana ‘Jumanne’ kabla ya kuanza safari ya kurudi Dar Mabosi wa Simba wamemalizana na beki wa kushoto wa Ihefu, Yahya Mbegu na tayari amemwaga wino kwa mkataba wa miaka miwili. Mbegu anakwenda kuwa mbadala sahihi wa Mohammed Hussein ambae kwa muda mrefu ametawala eneo hilo.
Post a Comment