Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alimdaka mlinzi wa kulia wa Kagera Sugar Datus Peter na kufanya nae mazungumzo ya muda mfupi
Imeelezwa kulikuwa na mazungumzo zaidi nje ya camera, Nabi akionyesha kuvutiwa na mlinzi huyo
Nabi amekabidhiwa rungu la kuanza kukisuka kikosi chake mapema kuelekea msimu ujao
Kuna taarifa kuwa TP Mazembe wanahitaji huduma ya mlinzi Djuma Shabani huku pia wakiwa tayari wamewasilisha ofa Jangwani kwa ajili ya kumsajili Feisal Salum 'Fei Toto'
Maongezi ya Nabi na Datus ni dalili kuwa anamuhitaji kwenye kikosi chake na pengine suala la Mazembe na Djuma linaweza kutokea
Post a Comment