Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kikosi cha Simba kimeondoka jiji la Casablanca kurejea Tanzania baada ya mchezo dhidi ya Raja Casablanca hapo jana
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema mfasara umeondoka Casablanca, watapita Uturuki kisha kuunganisha ndege nyingine mpaka Ethiopia
Siku ya Jumapili wataondoka Ethiopia, wakiunganisha ndege hadi jijini Dar es salaam
Post a Comment