Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba dhidi ya Ihefu Fc uliokuwa upigwe uwanja wa Uhuru, sasa utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema mchezo huo ambao utapigwa kesho Ijumaa, umehamishwa kutokana na uwanja wa Uhuru kuwa na matumizi mengine
Hakuna mabadiliko ya muda, mchezo utapigwa saa 10 jioni
Post a Comment