Taarifa Mpya kutoka Simba Mchana huu


 Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Baada ya kuwachabanga Ihefu Fc mabao 5-1 katika mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFc), kikosi cha Simba kinaondoka saa 2 usiku kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbogo maji hao, Ihefu Fc


Msafara wa wachezaji 22, viongozi na benchi la ufundi wanakwenda Mbeya kusaka alama tatu muhimu katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Highland Estate huko Mbarali


Bado hesabu za Simba ziko kwenye ubingwa wa ligi kuu hivyo kila mchezo unaofuata ushindi ni matokeo ya lazima


Mtanange utapigwa siku ya Jumatatu, April 10, saa 10 jioni

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post