Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema msafara unaoelekea Morocco utakuwa wa awamu mbili
Awamu ya kwanza inaondoka leo saa mbili usiku ukijumuisha watu 29 wakiwa ni wachezaji na benchi la ufundi
Msafara wa pili utaondoka Jumanne, utajumuisha watu 20, wakiwa ni viongozi na kiongozi wa msafara kutoka TFF
Ahmed amesema Simba inakwenda Morocco kupambana kuhakikisha wanapata matokeo yatakayowapeleka nusu fainali siku ya Ijumaa, April 28
Post a Comment