Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba imethibitisha kurejea kikosini kwa kiungo mshambuliaji Augustine Okrah ambaye alikuwa nje kwa zaidi ya wiki nne baada ya kuvunjika kidole
Taarifa iliyotolewa na Simba, imebainisha kuwa leo Okrah ameshiriki mazoezi na wachezaji wengine kikamilifu
Aidha winga Kibu Denis nae afya yake imeimarika leo amejumuika na wenzake katika mazoezi
Kibu na Shomari Kapombe waliumia kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Raja Casablanca uliopigwa Jumamosi iliyopita
Simba imeingia kambini kujiandaa na mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa Ijumaa, April 07 katika uwanja wa Uhuru
Post a Comment