Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Sugu amebainisha kuwa anafanya hivi ili kuipa hamasa timu hiyo isishuke Daraja
"Mbeya City Stand Up!! Timu yetu iko hatarini kushuka daraja, TUSIKUBALI! Tumebakiza mechi 4 na ili kupona inabidi tushinde hata mechi 2 tu. Katika kuhamasisha Wachezaji uwanjani, nitatoa 1M kwa kila GOLI la USHINDI kwa mechi zilizobaki na mkwanja utaenda kwa mfungaji, " Sugu aliandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii
Mbeya City inashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC ikiwa kwenye eneo la play-off
Post a Comment