Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Singida Big Stars imekuwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ikiibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo uliopigwa uwanja wa Liti, Singida
Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani, Singida BS walikuwa bora, ushindi huo haukuwa na shaka
Mabao ya Singida BS yalifungwa na Bruno Gomes aliyepachika mabao mawili, Francy Kazadi na Bright Adjei wakati bao la kufutia machozi kwa Mbeya City
Post a Comment