Simba waingia kambini kuiwinda Ihefu Fc

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kuingia kambini kukamilisha maandalizi ya mchezo wa robo fainali kombe la FA dhidi ya Ihefu Fc

Mchezo huo utapigwa Ijumaa, April 07 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam


Simba inahitaji kushinda ili kutinga nusu fainali ambapo kwenye hatua hiyo watakabiliana na Azam Fc


Jana Azam Fc walipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na kuwa timu ya pili kutinga nusu fainali baada ya Singida BS ambayo iliichapa Mbeya City mabao 4-1


Baada ya kurejea kutokea Morocco, wachezaji wa Simba walipewa mapumziko ya siku mbili na leo wanarejea Mo Simba Arena kukamilisha maandalizi

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post