Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Siku ya jana ulipigwa mchezo wa ligi kuu ya nchini Nigeria, ambapo uliwakutanisha Lobi Star na Rivers United ambapo Lobi Star waliondoka na Ushindi wa Goli 3-2.
FT: LOBI STAR 3 - 2 RIVERS UNITED.
Wafungaji; 66'— ⚽ Farouk Mohammed 69'— ⚽ Abba Umar 86' - ⚽ Wasiu Alalade 90' - ⚽ Nyima Nwangwa 90+6' - ⚽ Elijah Ani
Rivers ipo nafasi ya pili katika Msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 20 huku ikiwa imecheza michezo 12, huku Lobi Star inaongoza ligi ikiwa na point 26 ikiwa imecheza michezo 13.
Ikumbukwe kuwa, Rivers United wamepangwa kucheza robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga ambao wanapewa nafasi kubwa ya kusonga mbele zaidi katika michuano hiyo ikilinganishwa na Rivers.
Post a Comment