Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wenyeji walikuwa wametangulia kupata bao kupitia kwa Pau Torres lakini Chukwueze akafunga bao la kusawazisha
Bao pekee la Vinicius Jr liliiweka Real mbele lakini Jose Luis Morales akasawazisha kabla ya Chukwueze kuwashangaza wenyeji kwa bao la tatu
Huku kukiwa na mechi 10 tu za La Liga zilizosalia, Real ingehitaji kumaliza kwa nguvu msimu huu huku wakiomba Barcelona kuanguka ili kutetea ubingwa wao
Real walidhani walipata nafasi ya kusawazisha dakika za lala salama walipopewa penalti lakini baadae mwamuzi akabatilisha uamuzi wake baada ya ukaguzi wa VAR
Ushindi huo unaifanya Villarreal kupanda hadi nafasi ya tano kwenye msimamo, pointi nne kutoka kwenye nafasi nne za juu
Barcelona wanaweza kuongeza gap la pointi kufikia 15 kama watapata ushindi dhidi ya Girona siku ya Jumatatu
Post a Comment