Ratiba ya nusu Fainali kombe la FA ( ASFC )

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya mechi za nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)


Mchezo wa kwanza wa nusu fainali kati ya Azam Fc dhidi ya Simba utapigwa May 06 uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara na mchezo wa pili kati ya Singida BS dhidi ya Yanga utapigwa May 07 uwanja wa LITI, Singida



0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post