Ratiba ya michezo ya leo Ligi Kuu England (EPL)

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Ligi kuu England inaendelea tena leo April 27 huku Mashetani Wekundu, Manchester United wakiwa wageni wa Tottenham Hotspur ambayo itakuwa chini ya kocha wa tatu ndani ya mwezi mmoja kwenye benchi lao la ufundi.


Spurs ilimfuta kazi Antonio Conte huku nafasi yake ikichukuliwa na Cristian Stellini ambaye pia alioneshwa mlango wa kutokea siku chache zilizopita kufuatia kipigo cha 6-1 dhidi ya Newcastle United.


Ryan Mason amepewa jukumu la kukinoa kikosi hicho mpaka mwisho wa msimu huku kibarua chake kikianza kwa kuivaa Manchester United ya Eric Ten Hag.


Mechi nyingine zitakazopigwa katika Ligi hiyo ni;


21:45 Everton vs Newcastle United


21:45 Southampton vs Bournemouth

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post