Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mwezi huu Wananchi wanakabiliwa na mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar (April 11) na dhidi ya Simba (April 16)
Alama sita kutoka mechi hizi zinaweza kutosha kuwahakikishia Wananchi ubingwa wa 29 ambao utakuwa msimu wa pili mfululizo kwa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu
Kwani zitasalia mechi nne na Yanga itakuwa ikihitaji alama mbili kufunga hesabu
April 08 pia Yanga inakabiliwa na mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex
Lakini pia Wananchi watakuwa na mechi mbili za robo fainali michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika
Post a Comment