Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya mchezo dhidi ya Raja Casablanca uliopigwa huko Morocco usiku wa kuamkia leo, kikosi cha Simba kimeondoka Morocco kurejea Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazofuata
Simba inakabiliwa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa April 07 katika uwanja wa Uhuru
Siku tatu baadae Simba itasafiri Mbarali Mbeya kwa ajili ya mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa April 10
Utafuata mchezo wa dabi dhidi ya Yanga ambao utapigwa April 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Katika mwezi huu pia mechi mbili za robo fainali ligi ya mabingwa zitapigwa
Droo ya hatua ya robo fainali itafanyika Jumatano, April 05 huko Cairo, Misri
Post a Comment