Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Metacha alikuwa langoni wakati Yanga ikichuana na TP Mazembe katika mchezo uliopigwa huko Lubumbashi jana
Metacha alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo huo akihakikisha Wananchi wanaondoka na ushindi muhimu wa bao 1-0 uliowafanya wamalize kileleni mwa kundi D
Hiyo ilikuwa mechi yake ya kwanza kucheza katika michuano hiyo akichukua nafasi ya Djigui Diarra aliyekuwa akitumikia adhabu ya kadi mbili za njano
Post a Comment