MCHUNGAJI MASHIMO AMTAKA RAIS SAMIA AACHE KUWAPA SIMBA NA YANGA PESA AMPE YEYE "Simba na Yanga Zimelaaniwa "

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mchungaji Mashimo amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuacha kutoa hela Kwa Timu za Simba na Yanga kila zikifunga goli kwenye Michezo Yao ya Kimataifa Milioni 5 akidai kuwa Timu Hizo Zimesha Laaniwa na Mungu haziwezi kufanya vizuri kwenda Nusu Fainali.


Mchungaji Mashimo amedai kuwa Timu Hizo Aliziombea Mwaka Jana Lakini zikapuuza Haizikupeleka Sadaka, amedai alienda Hadi makao makuu ya Vitabu hivyo lakini Viongozi wa Timu Hizo Hawakutoa Sadaka.


Ameamtaka Rais Samia Suluhu Hassan Kutoa Sadaka Milioni 20 Kwa niaba ya Timu Hizo Ili aweze kufungulia Timu Hizo.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post