Matokeo Yanga vs Rivers united leo April 30

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Historia imeandikwa uwanja wa Benjamin Mkapa leo Yanga ikifanikiwa kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Rivers United


Ni historia kwa Tanzania, Yanga ikiwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali katika michuano ya CAF


Hongera wachezaji, hongera benchi la ufundi, hongera viongozi wa Yanga na zaidi hongera Wananchi woteeeeeee


NUSU FAINALI IMEWEZEKANA....!

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post