Matokeo Yanga vs Geita Gold Fc Leo Jumamosi

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Yanga imetinga nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa robo fainali uliopigwa uwanja wa Azam Complex


Bao pekee la Yanga katika mchezo huo lilifungwa na Fiston Mayele aliyeingia kwenye kipindi cha pili


Kipindi cha kwanza Yanga walitengeneza nafasi nyingi lakini walishindwa kuzitumia.


Mabadiliko yaliyofanywa na Kocha Cedric Kaze katika kipindi cha pili yaliinufisha Yanga


Yanga sasa imeungana na Singida BS, Azam Fc na Simba kwenye hatua ya nusu fainali


Kwenye mechi ya nusu fainali Wananchi watasafiri mkoani Singida kuwakabili Singida BS

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post