Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Cuta na Blessing Nkor walifunga mabao ya Yanga Princess ambao yamewafanya Wananchi wafikishe alama 25 katika nafasi ya nne
Yanga Princess inayonolewa na kocha wa muda Fred Mbuna imepania kumaliza msimu kwa heshima kwani nafasi ya kutwaa ubingwa ni finyu
JKT Queens wanaongoza ligi wakiwa na alama 34, alama tisa zaidi ya Yanga Princess huku zikiwa zimesalia mechi nne ligi kumalizika
Post a Comment