Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Simba Queens imeendeleza wimbi la ushindi Ligi Kuu ya Wanawake baada kuichapa Amani Queens mabao 2-0 katika Uwanja Uhuru, Dar es Salaam
Ni ushindi ambao umeongeza presha kwwa JKT Queens ambao wameendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi tofauti ya alama moja dhidi ya Simba Queens huku kila timu ikiwa imesalia na mechi tatu
Post a Comment