Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ikiwa ugenini huko Ujerumani, Man City ilifanikiwa kuitoa Bayern Munich kwa aggregate ya 4-1 baada ya kuilazimisha sare 1-1 katika uwanja wa Allianz Arena
Man City ilishinda mabao 3-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Uingereza
Inter Milan pia wakafuzu kucheza hatua ya nusu fainali kwa kuwaondoa Benfica ya Ureno kwa aggregate ya 5-3 baada ya sare ya mabao 3-3 kwenye mchezo wa mkondo wa pili uliopigwa San Sirro
Inter Milan walishinda mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Ureno
Sasa nusu fainali ni AC Milan dhidi ya Inter Milan na Real Madrid dhidi ya Man City, mechi za mkondo wa kwanza zitachezwa Mei 9 2023 na marudiano ni Mei 16 2023.
Post a Comment