Mangungu aanza Tambo baada ya kuifunga Yanga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Mwenyekiti wa Simba, MURTAZA MANGUNGU amesema, mpira hauna majigambo, maana majigambo ya Yanga ndio yaliwapa hasira wachezaji wa Simba.


“Mpira ni mchezo wa sayansi, hauhitaji tambo na jeuri. Tambo na jeuri zao pengine ndio zimewatia hasira wachezaji watu. Mambo yangeenda vizuri pengine wangeenda kulala na zile saba kama za Horoya.


“Hatuna sera ya kumfunga mtani, sera yetu ni kushinda mashindano na kumfunga yeyote anaekuja mbele yatu. Matokeo tofauti na ushindi inakuwa ni bahati mbaya lakini malengo yetu ni kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye mashindano yote,” amesem Mangungu.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post